PreGE2025 Sheikh Walid: Viongozi wa dini tuwaache wenye siasa wafanye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.

Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 23 Aprili 2025, katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.

Huyu Shehe anabariki vitendo vya kukandamiza HAKI zetu za kuchagua viongozi tuwatakao. Shehe gani huyu?!
 
Attachments

  • 20250423_182148.png
    20250423_182148.png
    808.1 KB · Views: 35
Chadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa

Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao

Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )

Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa
Ogopa sana matapeli wa Lumumba akili hawana
Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema?
 
Chadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa

Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao

Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )

Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa

Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema?
Dhambi iko wapi sasa? Hawa pia niwapiga kura wana haki yakuchagua upande wakiamua kwanini wasipokua upande wa sisiemu waoneoane wanafanya siasa? Ushamba huo
 
Chadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa

Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao

Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )

Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa

Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema
Mada ni Walid
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.

Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 23 Aprili 2025, katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.

Yupo sahihi wanasiasa wanalipwa mishahara na posho kupitia kazi yao ya siasa kwanini viongozi wa dini waingilie kazi isiyo wahusu...
 
Chadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa

Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao

Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )

Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa

Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema?
TEC haijawah kugawanyika, hizo theory zako hazina mashiko. Chadema si chama cha kanisa.
Mkiambiwa ukweli mnakuwa wakali
 
..Masheshe wanawajibika kuingilia kati kwa sababu kuna wananchi wamedhulumiwa, na wengine kuuwawa, katika harakati za Ccm za kuiba chaguzi mbalimbali.
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.

Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 23 Aprili 2025, katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.

Kikiwaka wao watapita mitaani kukusanya maiti waziswalie na kuzizika.
 
Yupo sahihi wanasiasa wanalipwa mishahara na posho kupitia kazi yao ya siasa kwanini viongozi wa dini waingilie kazi isiyo wahusu...
Viongoz wa dini wanaingilia mishahara yao au? Kulipwa si issue ishu ni namna wana conduct majukumu yao
 
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.

Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 23 Aprili 2025, katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.

Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.

ni muhimu sana viongozi wa dini wakajikita kwenye jukumu lao la msingi kusaidia mageuzi ya kiroho na uadilifu kwa waamini wao,

wakijitia kimbelembele kujiunga na vibaka, matapeli na waropokaji wa kisiasa nchini,

kama wanasiasa hatutakaa kimya, tutawafuata kisiasa na kuwajibu kikamilifu huko huko madhabahuni wanakojificha na kamwe hali hiyo isionekane na utovu wa nidhamu kwasabb sisi kama wanasiasa hatujaingilia kazi yao ya kueneza nano la Mungu na imani kwa wanainchi.

wasilete kimbelembele kwenye siasa ambayo ni jukumu la wengine 🐒
 
Back
Top Bottom