Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Amani hailindwi kwa kuwaacha wanaosigina haki za wengine waendelee kuzisigina, eti kwa sababu ukikemea utaonekana unapendelea upande mmoja!
Ndio maana tumeulizaAmani hailindwi kwa kuwaacha wanaosigina haki za wengine waendelee kuzisigina, eti kwa sababu ukikemea utaonekana unapendelea upande mmoja!
Ndio maana tumeulizaHuyu Shehe anabariki vitendo vya kukandamiza HAKI zetu za kuchagua viongozi tuwatakao. Shehe gani huyu?!
Ogopa sana matapeli wa Lumumba akili hawana
Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema?Ogopa sana matapeli wa Lumumba akili hawana
Asante kwa ushahidiOgopa sana matapeli wa Lumumba akili hawana
Dhambi iko wapi sasa? Hawa pia niwapiga kura wana haki yakuchagua upande wakiamua kwanini wasipokua upande wa sisiemu waoneoane wanafanya siasa? Ushamba huoChadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa
Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao
Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )
Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa
Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema?
Mada ni WalidChadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa
Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao
Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )
Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa
Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema
Yupo sahihi wanasiasa wanalipwa mishahara na posho kupitia kazi yao ya siasa kwanini viongozi wa dini waingilie kazi isiyo wahusu...Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.
Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 23 Aprili 2025, katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.
TEC haijawah kugawanyika, hizo theory zako hazina mashiko. Chadema si chama cha kanisa.Chadema now ipo chini ya Kitima na baadhi ya Maskofu wa
Naona Viongozi wa Dini wameanza kugawana mbao
Bakwata Ipo na Dola
Kkkt Ipo na Dola ( Ukiondoa Maaskofu 2 wa )
Tec imegawanyika kuna kundi la Wolfgang na Kundi la Rugambwa
Kitima pia si alikua mpatanishi wa Uchaguzi wa Chadema?
Kikiwaka wao watapita mitaani kukusanya maiti waziswalie na kuzizika.Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.
Sheikh Walid ameyasema hayo siku ya Jumatano tarehe 23 Aprili 2025, katika Kongamano la Amani kwa Viongozi wa Dini Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025-2030 ambapo viongozi hao wa mkoa wa Dar es Salaam wamekutana kujadili nafasi yao katika kulinda na kutetea amani ya nchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopaswa kulindwa kwa nguvu zote na kwamba viongozi wa dini wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kuzuia viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
Amesisitiza kuwa ni wajibu wa kila kiongozi wa kiroho kuhakikisha ujumbe wao unaleta mshikamano na siyo mgawanyiko katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, na wawe makini na kujiepusha na vitendo vya rushwa.
Viongoz wa dini wanaingilia mishahara yao au? Kulipwa si issue ishu ni namna wana conduct majukumu yaoYupo sahihi wanasiasa wanalipwa mishahara na posho kupitia kazi yao ya siasa kwanini viongozi wa dini waingilie kazi isiyo wahusu...
Akili ndogo.Sheikh Walid ameongea hoja muhimu sanaa.
ni muhimu sana viongozi wa dini wakajikita kwenye jukumu lao la msingi kusaidia mageuzi ya kiroho na uadilifu kwa waamini wao,Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa huo Walid Alhad Omary Kawambwa amewataka viongozi wa dini kutambua majukumu ya nafasi zao ikiwamo lile la kuiombea nchi ya Tanzania kuwa yenye amani na utulivu na kutofanya kazi ya wanasiasa.