PreGE2025 Sheikh Walid: Viongozi wa dini tuwaache wenye siasa wafanye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna msemo unaosema, ni heri kukaa kimya watu wakahisi huna akili kuliko kuzungumza ukaondoa mashaka yote juu ya kutokuwa kwako na akili. Anawaasa vingozi wa dini wasijuhusishe na siasa, huku akiwahimiza wafanye mambo ambayo kimsingi ni ya kisiasa. Na yeye mwenyewe hatambui anachokifanya ni siasa. Bure kabisa!
 
Yupo sahihi wanasiasa wanalipwa mishahara na posho kupitia kazi yao ya siasa kwanini viongozi wa dini waingilie kazi isiyo wahusu...
Ukiwa kiongozi wa dini unaacha kuwa raia hivyo masuala yahusuyo nchi yako hayakuhusu? Kwa maana hiyo, waganga na wauguzi, wanasheria, walimu, na wengine wa fani mbali mbali wasijihusishe na siasa, kwa kuwa mishahara na posho zao havitokani na kazi ya siasa! Elimu yetu ina mushkeri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…