Kwa elimu yangu ndogo ya dini ya kiislam yale aliyoyafanya hayakubaliki, lakini pia tumekatazwa kutaja mabaya ya marehemuMohamed Said unajimu kama aliokuwa akifanya Sheikh Hussein unakubalika katika Islam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa elimu yangu ndogo ya dini ya kiislam yale aliyoyafanya hayakubaliki, lakini pia tumekatazwa kutaja mabaya ya marehemuMohamed Said unajimu kama aliokuwa akifanya Sheikh Hussein unakubalika katika Islam?
AiseeeKuna member hapa alitoa ya moyoni jinsi Mnajimu Yahya Hussein alivyommaliza.
Unaongea tu.Bandiko zuri sana.
Lakini kwa heshima zote kwako mzee wangu naomba niseme hisia zangu juu ya kutoweka kimaajabu kwa mwarabu wa Yemen huko jela ya Zanzibar.
Naamini hiyo tukio hilo ni hoax tu. Ingewezekana basi jela za Yemen zisingekuwa na wafungwa.
Hakuna kitu kama hicho baharia acha kuamini kirahisi.
Acha kabisa mkuuHuyo mzee alikuwa na wake wazuri kinoma halafu watoto wabichi kabisa km waarabu hivi na alikuwa anatembea Mao wote kwenye Prado lake,
Ni issue sensitive sana Mkuu. Acha niishie hapo.Kivipi?