tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
“Kila mtu akapige kura ili tumpate tunayemtaka; tusiwekewe tusiyemtaka.
Kwa sababu kuchagua kiongozi anayefaa huo ni mchango wa kusaidia kuleta wema na kufanya wema.
Akiwepo ambaye hapendwi katika viongozi, uovu utakuwepo.
Ili tusaidie uovu usiwepo, lazima sote tumchague yule tunayemtaka — ambaye tutamtii, tutamheshimu na tutamsikiliza.
Tupatane tumuweke tunayemtaka na wala tusiweke ambaye hatumtaki.”
Soma pia: Sheikh Nassor Yahya: Kila mmoja ahamasishe mwenzake akapige Kura
Sheikh Yahya Kivuma, Mkurugenzi wa Madrasaa na Daawa Mkoa wa Dodoma,
akizungumza Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma,
wakati wa kongamano la Viongozi wa Dini mbalimbali Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea Taifa amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.