Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Hii ni hotuba ya Sheikh wa Palestina Issam Amira akihutubia katika Msikiti wa Al-Aqsa.
Hotuba hiyo ilipata ukosoaji na shutuma nyingi katika ulimwengu wa Kiarabu kwa sababu ukweli unauma... lakini ukweli ni mmoja tu na lazima wakabiliane na ukweli kila mahali- Wapalestina hawana haki ya kihistoria kwenye Ardhi ya Israel!