Sheikhe Issam Amira kawapa makavu Wapalestina huko Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Hii ni hotuba ya Sheikh wa Palestina Issam Amira akihutubia katika Msikiti wa Al-Aqsa.

Hotuba hiyo ilipata ukosoaji na shutuma nyingi katika ulimwengu wa Kiarabu kwa sababu ukweli unauma... lakini ukweli ni mmoja tu na lazima wakabiliane na ukweli kila mahali- Wapalestina hawana haki ya kihistoria kwenye Ardhi ya Israel!
Your browser is not able to display this video.
 
Munajitekenya na kucheka wenyewe.
 
Hii video ni ya 2023 leta link ya video full sio hivi vipande vya kukatwa katwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…