poa mkuuSubirini likizo ishe aya mambo yatakwisha tu
Na tena kakiosha hayo mapoda poda usoni kanaweza kabisa mtishia mtoto hadi akalala...Mmmmh mbona ni 'kabaya'..!?????
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,
View attachment 530400
![]()
Tafuta pesa dogo ili uweze kumliki vitu vizuri sio kuja hapa kutuambia nampenda unadhani atakuja hivi hivi?wanaangalia wapi kuna neemaMtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,
View attachment 530400
![]()
Hata sio mzuriMtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,
View attachment 530400
![]()
Kwani Hajaolewa huyu?Kwani huna mke ? Mbona mna tamaa hivi nyinyi ukimpata tena unamtaka na Fatma Almasi Nyangasa
Mwanamke uremboHizo ni makeup zinakuchanganya
Ila ye ndo kashapenda.. si unajua mkuu kupnda ni ugonjwaMmmmh mbona ni 'kabaya'..!?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shule zinafunguliwa lini??