Sheila Mkumba wa Azam Tv unautesa mtima wangu


Siku zingine jifunzeni kuweka humu Picha za Mademu wazuri / wakali na siyo Migari yenu ya Mkaa kama hii sawa?
 
Duuuuh!!! Mkuu hivyo tu umemaliza kufikisha hisia zako???!!!

Ukimpata basi tuletee mrejesho ili wengine tutumie mbinu yako.
 
Tafuta pesa dogo ili uweze kumliki vitu vizuri sio kuja hapa kutuambia nampenda unadhani atakuja hivi hivi?wanaangalia wapi kuna neema
 
Hata sio mzuri
 
Mdogo wake Mbwiga Mbwiguke mjukuu wa Mzee Mkumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…