Sheila Mkumba wa Azam Tv unautesa mtima wangu


Picha hazitoshi ongezea hata sheila akija atajua unatania atasema kumpenda kote huko una tupicha twake tuwili tu
 
Wewe nani wake mkuu

Kijana wa watu keshapenda mwacheni nyie mnaosema wa kawaida hugo mtangazaji wekeni picha zenu halisi,tuwaone,mkiweka naamini serikali itaufunga mtandao wa jf kwa kuweka sura zinazotisha ambazo hata TBS wanazikataa hazina ubora
 
May be ua teeen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si uende Tabata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…