buthabutha
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 659
- 396
Bado wiki moja shule zifungue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,
View attachment 530400
![]()
Ila nimeamini kuwa wanawake bhana kupendana wao kwa wao ni shida ila wapendwe wao tu na midume. Hebu tazama hizo comments za hapo juu
Wewe nani wake mkuu
May be ua teeen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,
View attachment 530400
![]()
Jamani. Yeye mleta mada ndo "kafia" hapo! Kwake kazuri! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmh mbona ni 'kabaya'..!?????
Hapana mkuu, usinigombanishe na Joseverest huyu namjua ni mtoto wa kiumeniUmemuinclude na joseverest? Kwamba wanawake hawapendani