Sheila Mkumba wa Azam Tv unautesa mtima wangu

Joined
May 6, 2017
Posts
47
Reaction score
62
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,

Screenshot_20170625-112351.png

d17cb6a97982f5c1ddbfed67ff9437da.jpg
 
Mtoto Ma asha Allah, nakupenda sana , Sheila naomba tuanzishe safari pamoja, nateseka sheila juu yako, inafikia kipindi usiporipoti habari kwa siku nachukia sana
Nadhani upo humu, hata kama haupo una marafiki humu , kwa wale marafiki wa Sheila Mkumba naomba munifikishia ujumbe huu " Nakupenda Sheila mtoto wa Mkumba" from my Heart,

View attachment 530400
Mbona wa kawaida sana?bora mara elfu paprika wangu!
 
Kajipodoa ndo yupo hivo, je ukimkuta katoka kulala?
 
Mbaaaayaaa ila ma make up na ma lipstick yamemtoa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni vizur umefunguka na umampenda kwa wengine tunamuona wakawaida ila kashajua unampenda sasa ingia hapo uone maringo yake
 
Back
Top Bottom