Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Hii ni habari njema sana kwa watanzania na jumuiya nzima ya ndugu zetu waislam.Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii
View attachment 1611465
Kwanini?Kuna watu mkiamua mkiwaita ma Sheikh lazima mmalizie 'wa Bakwata' ili kutokuchanganya na Ma Sheikh wa Waumini wa dini ya kiislam
Hakuna aliyemkamilifu hapa dunianiMasheikh wetu wana udhalilisha sana uislam, kwa tabia zao za hovyo
Kwanini?
Ni nini sasa? Mitano kwanza au Mitano tena?Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii
View attachment 1611465
mitano kwanza πππ Nini kiliwagombanisha?