Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamaliza tofauti zao

Shekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamaliza tofauti zao

Ugomvi wao ulijikita kwenye nin hasa?
Sheikh Ubwabwa kukipigia kampeni CCM na kuomba duaah kupitia Mwokozi wetu Yesu Kristo. Inasemekana sheikh Ubwabwa anamkubali sana Yesu Kristo ambalo kwa wengi ni Jambo zuri.
 
Kitengo wamewapatanisha tena kwa maslahi ya muda mfupi ya kisiasa[emoji23][emoji23]
Hata wapatanishwe, kasoro zao umma unazijua. Na wangeendelea hakika tungepata vitu very delicious kwa wapenda umbea.
 
Nyie Masheikh Jambo mlilolifanya Kipindi hiki Mjue mmetuponya....mmeponya sio Waislamu tu bali Watanzania Wote...Mie nimewaona kwenye Taarifa Ya Habari Usiku huu...Mungu anapenda mapatano na msamaha...! Mungu awabariki na Atubariki wote.
 
Ilikua kiki kumbe. Salaaaleeee. Wanataka watoe kaswida nini???!
 
Back
Top Bottom