Sheikh Ubwabwa kukipigia kampeni CCM na kuomba duaah kupitia Mwokozi wetu Yesu Kristo. Inasemekana sheikh Ubwabwa anamkubali sana Yesu Kristo ambalo kwa wengi ni Jambo zuri.Ugomvi wao ulijikita kwenye nin hasa?
Ni kweli sheikh Ubwabwa anapenda vitu delicious?huyu ataacha kweli kutatua watu marinda?
Walichemka mno kulumbana mitandaoni kama wasanii wa bongo muviShekh Alhad Mussa na Shekh Muhammad Idd wamemaliza tofauti zao na kuwataka Waislamu wote kuendelea kuwa kitu kimoja na kuwahimiza kujitokeza kupiga Kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki hii
View attachment 1611465
Wanajiita waislam, kwakuwa waliwekwa na Dola lakini hawana ukaribu wowote na waislam wa nchi hii, wapigaji tu waleKwani Bakwata siyo Waislamu?
Kitengo wamewapatanisha tena kwa maslahi ya muda mfupi ya kisiasa[emoji23][emoji23]Walichemka mno kulumbana mitandaoni kama wasanii wa bongo muvi
Hata wapatanishwe, kasoro zao umma unazijua. Na wangeendelea hakika tungepata vitu very delicious kwa wapenda umbea.Kitengo wamewapatanisha tena kwa maslahi ya muda mfupi ya kisiasa[emoji23][emoji23]