Shekh Walid viatu vilimbana sana hadi vikamtoa sugu kwenye ncha za vidole

Shekh Walid viatu vilimbana sana hadi vikamtoa sugu kwenye ncha za vidole

mtu-roho

Member
Joined
Jun 16, 2026
Posts
16
Reaction score
21
Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake)

Kwa nini ?
Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na misukosuko aliyopitia.

PENDEKEZO;

1. Awe shekh wa mikoa (Mashekh wote wa mikoa wawe chini yake)

2. Kama vipi serikali imchukue impe "ubunge wa kuteuliwa" na kupewa kitengo Cha "Usuruhishi wa ndani - kijamii"

MBARIKIWE
 
Kama ushauri wako utazingatiwa hardworking staff watakata tamaa mara mbili.
 
Back
Top Bottom