PreGE2025 Shekhe Abuu Jadawi: Achaneni na wapumbavu wanaosema No reforms No election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.

Aidha Shekhe Abuu amesisiza kuwa kauli ya No reforms No election ni mihemuko ambayo haina faida.

Etii wadau ni kweli ajenda ya No reforms No election ni kwa maslahi ya wachache au wanaosukuma hiyo ajenda wametumwa?

View: https://www.youtube.com/watch?v=zvlAqO5IAGc​

Source: Bongomixed Habari
 
1749448152020.jpg
 
Mtu ambae mpe pilau soda na ndizi mbivu anaridhika 🤣🤣🤣🤣 unategemea nn toka kwake?
 
Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.

Aidha Shekhe Abuu amesisiza kuwa kauli ya No reforms No election ni mihemuko ambayo haina faida.

Etii wadau ni kweli ajenda ya No reforms No election ni kwa maslahi ya wachache au wanaosukuma hiyo ajenda wametumwa?

Source: Bongomixed Habari
Hawa Masheikh ubwabwa wako wengi sana kwenye hii nchi. Na sijajua ni kwa nini huwa hawapendi kujifunza kwa Masheikh wanaojitambua kama Ponda Issa Ponda wanaoamini siku zote kwenye Haki Bin Haki.
 
Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.

Aidha Shekhe Abuu amesisiza kuwa kauli ya No reforms No election ni mihemuko ambayo haina faida.

Etii wadau ni kweli ajenda ya No reforms No election ni kwa maslahi ya wachache au wanaosukuma hiyo ajenda wametumwa?

Source: Bongomixed Habari
Aache ujinga wake!! mpuzi mmoja.
 
Jambo lolote la kisiasa liko kwa ajili ya kunufaisha wanasiasa.Wananchi na shida zao wanatumika kama ngazi.Ukijimua uchaguzi nikwasababu yakumchagua mwanasiasa akalipwe mamilioni anufaike na maisha yake wala huwezi kushangaa hii mivutano kipindi cha uchaguzi.Hizo ni ajira za watu wanapambania.changanya nazako utaelewa.
 
Back
Top Bottom