Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Ukwel ambao wengi watasema ni dharau, tunaishi nao hao!!Acha dharau😁😁😁
Ukwel ambao wengi watasema ni dharau, tunaishi nao hao!!Acha dharau😁😁😁
🤣🤣Upumbavu ni sifa ya Mtu. Wala sio tusi.
Ni kama kusema mtu mrefu ama mfupi.
TumekusikiaMwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.
Aidha Shekhe Abuu amesisiza kuwa kauli ya No reforms No election ni mihemuko ambayo haina faida.
Etii wadau ni kweli ajenda ya No reforms No election ni kwa maslahi ya wachache au wanaosukuma hiyo ajenda wametumwa?
Source: Bongomixed Habari
Mtaalamu wa dua = MgangaMwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.
Aidha Shekhe Abuu amesisiza kuwa kauli ya No reforms No election ni mihemuko ambayo haina faida.
Etii wadau ni kweli ajenda ya No reforms No election ni kwa maslahi ya wachache au wanaosukuma hiyo ajenda wametumwa?
Source: Bongomixed Habari
Leo shekhe panda anajitambua! Wakati kuna wakati mlimtukana?Hawa Masheikh ubwabwa wako wengi sana kwenye hii nchi. Na sijajua ni kwa nini huwa hawapendi kujifunza kwa Masheikh wanaojitambua kama Ponda Issa Ponda wanaoamini siku zote kwenye Haki Bin Haki.
Upumbavu ni kusema Oktoba unatiki! Make ni ishara ya wazi kuwa hakutakuwa na uchaguzi!Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao, akisema kuwa mbwa wanopanda juu ya mtu kuwa si kawaida na kama amepanda amepandishwa na mtu.
Aidha Shekhe Abuu amesisiza kuwa kauli ya No reforms No election ni mihemuko ambayo haina faida.
Etii wadau ni kweli ajenda ya No reforms No election ni kwa maslahi ya wachache au wanaosukuma hiyo ajenda wametumwa?
Source: Bongomixed Habari
Huyu shehe ubwabwa ni mjinga sana! Amekariri Kiarabu ila elimu ya vidato ni ziro!Tumetukanwa tena