PreGE2025 Shekhe Abuu Jadawi: Achaneni na wapumbavu wanaosema No reforms No election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tumekusikia
 
Mimi nadhani hawa watu wengine kwa wale mnaowafahamu mngekua mnatuwekea cv zao kabla hatuja wajibu kwa sababu unaweza kuwa unamjibu mtu kumbe anasiku tatu(3) hajatia kitu tumboni; Huyo njaa lazima inamtafuna na mnajua mtu mwenye njaa anawezakutamka chochote ambacho yeye anaamini kinaweza mpatia chakula ndio hawa sasa.
 
Mtaalamu wa dua = Mganga

Tofautisha sheikh na mganga
 
Hawa Masheikh ubwabwa wako wengi sana kwenye hii nchi. Na sijajua ni kwa nini huwa hawapendi kujifunza kwa Masheikh wanaojitambua kama Ponda Issa Ponda wanaoamini siku zote kwenye Haki Bin Haki.
Leo shekhe panda anajitambua! Wakati kuna wakati mlimtukana?
 
Duuuh! Nahisi hizi lugha ndiyo zinaweza kukoleza zaidi! ๐Ÿ˜„
 
Upumbavu ni kusema Oktoba unatiki! Make ni ishara ya wazi kuwa hakutakuwa na uchaguzi!
 
Hapo tushajua mpumbav ni nanii - elimu ya madrasa haijawahi kumwacha mtu salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ