thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Nilikuwa nasubiri comment kama hii asante mjadala ufungwe, sasa jitu alijasoma linaenda kudanganya mania ya watu hivi unaanza kuliekekezea wapi bora akae kimyaa, DINI ikizidi sana unakuwa kama mtu aliyechanganyikiwaWaziri alikuwa na hikma sana…hakutaka kubishana naye angezua fujo maana anatujua waislam ni wabishi na wapenda fujo