Yaani hizo hormones za uenda hizo...waziweke kwenye chanjo alafu kwenye maji, mafuta, soda, juice, nguo, tv, magari, fridge, ac, magodoro, na mengine tunayopenda kukimbilia kununua kutoka kwao wasiweke!
Huyo sheikh mwenyewe achunguzwe! Utafiti unaonesha wanaopiga vita zaidi ushoga ni mashoga waandamizi!!