PreGE2025 Shekhe huko Kilwa Kivinje azungumza kwa uchungu kudai Reforms

PreGE2025 Shekhe huko Kilwa Kivinje azungumza kwa uchungu kudai Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.

..msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.

..kwa kweli Reforms haswa katika masuala ya uchaguzi haziepukiki.


View: https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4

Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo

Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali

Ni mteja wao mkubwa sana
 
CHADEMA ingemualika Sheikh Ponda Issa Ponda kwenye Kampeni za Kanda Kusini NO REFORMS NO ELECTION.
 
Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo

Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali

Ni mteja wao mkubwa sana
so what? umelewa alichokisema lakini wewe chawa?
 
Atajibiwa na sheikh mwingine mapema sana

..hakuna Shekhe atamjibu moja kwa moja huyo Shekhe wa Kilwa.

..badala yake watatafutwa watu wa kuwashutumu na kuwalaumu Chadema.
 
Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo

Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali

Ni mteja wao mkubwa sana
Nyie ndiyo makafiri mnaiba tu pesa za umma na kudhulumu haki za raia,ndiyo mana mnagomea reforms mana mshazoea za kunyonga.
 
Back
Top Bottom