PreGE2025 Shekhe huko Kilwa Kivinje azungumza kwa uchungu kudai Reforms

PreGE2025 Shekhe huko Kilwa Kivinje azungumza kwa uchungu kudai Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.

Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.

Kwa kweli Reforms haswa katika masuala ya uchaguzi haziepukiki.


View: https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4

Mwenyez Mungu amlinde shehe maana akili yangu ya kina haina iman na sistim kumuacha salama kwa kauli izi ngumu iv alizozitoa
 
Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo

Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali

Ni mteja wao mkubwa sana
Sasa si bora huyu Sheikh anayekunywa pombe lakini anateyea haki Kuliko wale Masheikh wako wanafiki wa Bakwata wanaotetea dhuluma mbalimbali zinazofanywa na watawala katika jamii!
 
Back
Top Bottom