Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo..kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.
..msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.
..kwa kweli Reforms haswa katika masuala ya uchaguzi haziepukiki.
View: https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4
Kwa hiyo?Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo
Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali
Ni mteja wao mkubwa sana
DuuuhHuyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo
Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali
Ni mteja wao mkubwa sana
Duuuh
Na Machawa...usishangae.
..CCM sasa haina watu wa kujenga hoja, wamebakia kurusha vijembe, na matusi.
Sheikh ubwabwaAtajibiwa na sheikh mwingine mapema sana
Wewe tuliaHuyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo
Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali
Ni mteja wao mkubwa sana
so what? umelewa alichokisema lakini wewe chawa?Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo
Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali
Ni mteja wao mkubwa sana
Kweli Ni fahHawa ndio wanaofaa kuitwa Masheikh, wanaokemea uovu hadharani namna hii.
Ajabu huwezi kuwakuta Bakwata HQ!
Mungu amlinde, asije dhurika kwa aliyoyasema.
Atajibiwa na sheikh mwingine mapema sana
Nyie ndiyo makafiri mnaiba tu pesa za umma na kudhulumu haki za raia,ndiyo mana mnagomea reforms mana mshazoea za kunyonga.Huyo sio mwislamu ni kafiri analewa pombe ya mnazi huyo
Namjua anayebisha aulize wauza pombe ya mnazi hapo kilwa wasioenda msikitini kuswali
Ni mteja wao mkubwa sana
Anaonekana ana uchungu mwingiKuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.
Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.
Kwa kweli Reforms haswa katika masuala ya uchaguzi haziepukiki.
View: https://www.youtube.com/watch?v=KT79ZLXBHi4