PostGE2025 Shekhe Mwapopo amcharukia Mange, adai amechochea maandamano na kusababisha mauwaji ya watu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni hao kutakuwa na wananyama watakao chinjwa na ni wanyama wa gharama........

Wanyakyusa hatunaga she huyo ni mopumbavu
 
Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni hao kutakuwa na wananyama watakao chinjwa na ni wanyama wa gharama........

20251112_185453.jpg
 
Uchawa ni mzigo sana. Ni sheria gani inayowapa polisi authority ya kuua watu randomly patokeapo uchomaji wa vituo vya mafuta, vituo vya polisi, looting, etc?
 
Sheikh ubwabwa mwingine huyu,Yule majini aliongea utumbo kama huu akafyekwa yeye,ngoja nayeye achinje makondoo yake tutamkuta anaogelea kwenye damu yake mwenyewe
 
Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni hao kutakuwa na wananyama watakao chinjwa na ni wanyama wa gharama........

Jamaa linaongea pumba hadi aibu naona mimi
 
Lijitu lijinga linawaza ushirikina tu anadhani anaweza kumloga mange hata aite majini yake yote.tunakuelewa we ni tapeli tu.
Mashehe ubwabwa wakikosa Hoja baada ya kupewa vicent na Akina Abdul hukimbilia kwenye Udini, hawataki kukemea utekaji mauaji kubambikia watu kesi, Bakwata ni Tawi la ccm
 
Jamaa linaongea pumba hadi aibu naona mimi
Sifa ya kuwa sheikh ni kujua na kusoma kiaaarabu tu lugha ya Mwarabu ambaye si binadamu wa mfano kwani ndiyo mtu wa kujilipua na matabia yote ya ajabu na hovyo, Udini ndiyo kisingizio cha mashehe ubwabwa wakati utekaji mauaji ya akina mdude na wenzao yakiendelea hawakujitokeza
 
Waliohama kutoka ukisto kwenda kwenye dini ya uongo wamechanganyikiwa Huyo Jamaa baada ya kuingia uislam akaambiwa Shirki tu ndio Allah hasamehi aliposoma akakuta kumbe Shirk na uchawi na dhambi zote Allah anasamehe kaamua kuuingia mazima uchawi na ulozi Quran 39:59

قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنْفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِنْ رَحْمَةِ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ
Al-Barwani
Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
Waliohama kutoka ukisto kwenda kwenye dini ya uongo wamechanganyikiwa Huyo Jamaa baada ya kuingia uislam akaamiwa Shirki tu ndio Allah hasamehi aliposoma akakuta kumbe Shirk na uchawi Allah anasamehe kabla hajafa kaamua kuuingia mazima uchawi na ulozi
Yemen, Syria, Iran, Iraq, Afaganistan, Somalia kwenye mashehe wa kweli kuna vita, huyo shekhe ubwabwa ndiyo huchochea chuki kwa kuleta Udini kama kisingizio wakati waliomtuma ndiyo chanzo cha hayo yote yaliyotokea baada ya kuminya demokrasia kuonea kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo wapinzani
 
Sifa ya kuwa sheikh ni kujua na kusoma kiaaarabu tu lugha ya Mwarabu ambaye si binadamu wa mfano kwani ndiyo mtu wa kujilipua na matabia yote ya ajabu na hovyo, Udini ndiyo kisingizio cha mashehe ubwabwa wakati utekaji mauaji ya akina mdude na wenzao yakiendelea hawakujitokeza
Sio lazima ujue Kiarabu, Sharti kuu ni kuwa Muongo hilo ni lazima.
 
Yemen, Syria, Iran, Iraq, Afaganistan, Somalia kwenye mashehe wa kweli kuna vita, huyo shekhe ubwabwa ndiyo huchochea chuki kwa kuleta Udini kama kisingizio wakati waliomtuma ndiyo chanzo cha hayo yote yaliyotokea baada ya kuminya demokrasia kuonea kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo wapinzani
Hayo ndio madai makuu ya Watanzania mambo ya kuonewa onewa undava utemi kujimwambafai ni ungese mkubwa sana watu wakishatoka kwenye ujinga hawawezi kukuelewa ukianza kuwarudisha nyuma. wanajifanya wanasimamia Sheria huku nyuma ya pazia wanaumiza watu na hata aibu hawaoni wala kujificha wanapotezea tu.
 
Back
Top Bottom