... be a little bit open minded!Wauaji ndio wakulaumiwa.
Simlikuwa mnasema hakuna sisimizi wa kuandamana!labda maamdamano hayo kama yamitishwa na waislamu , Sasa wameamdamana mnaanza kulia lia na kumsingizia Mage, mwambieni ukweli Samia wenu kuwa watu huku mtaani wamemchoka "anakibali kwa Watanganyika 'Shekhe Mwapopo ameamua kuvunja ukimya baada ya yote kutokea ameeleza chanzo cha haya yote mbali na hayo ametangaza vita kubwa na Mwanadada mange Kimambi kwa kusema anandaa jambo kubwa ambalo litahudhuriwa na watu wengi wakubwa wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo pia amesema licha ya wageni hao kutakuwa na wananyama watakao chinjwa na ni wanyama wa gharama........
Huku misikitini kwenyewe mashehe hawapendani huwa na fitna majungu balaa, waanze kupendana wao kwanza kabla ya kumuongelea mange kimambiHayo ndio madai makuu ya Watanzania mambo ya kuonewa onewa undava utemi kujimwambafai ni ungese mkubwa sana watu wakishatoka kwenye ujinga hawawezi kukuelewa ukianza kuwarudisha nyuma. wanajifanya wanasimamia Sheria huku nyuma ya pazia wanaumiza watu na hata aibu hawaoni wala kujificha wanapotezea tu.
Hukum ya mchawi ni kifo usome uislam vyemaWaliohama kutoka ukisto kwenda kwenye dini ya uongo wamechanganyikiwa Huyo Jamaa baada ya kuingia uislam akaambiwa Shirki tu ndio Allah hasamehi aliposoma akakuta kumbe Shirk na uchawi na dhambi zote Allah anasamehe kaamua kuuingia mazima uchawi na ulozi Quran 39:59
قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنْفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِنْ رَحْمَةِ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ
Al-Barwani
Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Nimeshausoma vyema nakutana na ujinga ujinga huku kinakubaliwa huku kinapingwa so ni ugeu geu tu hakuna kilichokamilika.. wewe tu umeshindwa kuweka andiko lilinalosema hukumu ni kifo. hahaha Usilam wako ni wa kuhadithiwa tu na masheikh waongo.. ukiwauliza umetoa wapi hayo maneno anakuambia ni uislam huo hahaha Aya hiyo 39:53 inakuambia dhambi zote Allah anasamehe au unadhani Allah nae anajibaraguza baraguza kama alivyosema Lipumba kuhusu hali ya usalama wa mipaka yetu?Hukum ya mchawi ni kifo usome uislam vyema
Alafu hawajui Mange ni Muislam Mwenzao hahaha wakisikia jina Mange wanajua ni Mchaga basi na atakuwa MkristoHuku misikitini kwenyewe mashehe hawapendani huwa na fitna majungu balaa, waanze kupendana wao kwanza kabla ya kumuongelea mange kimambi