PostGE2025 Shekhe Mwapopo amcharukia Mange, adai amechochea maandamano na kusababisha mauwaji ya watu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mange kimambi katambaa na mioyo ya wanaoteseka kunung’unika na manyanyaso uonevu wa maccm, Mange hajamtuma mtu kuua mtu wala kuiba kuchoma cha mtu, yeye alihamasisha mandamano ya Amani tu lakini wakati mandamano yakitangazwa Polisiccm wakuu wa mikoa, wilaya wakaanza vitisho na Siku ya mandamano wakatumia Siraha za moto kuua wandamanaji ndipo watu kwa hasira wakaamua kulipa kisasi kuchoma kupora mali za watu, chanzo cha ubaya ni Polisiccm kupiga watu Risasi na mashehe ubwabwa kutokemea uonevu manyanyaso ya maccm kwa wakosoaji wa ufisadi wizi wa maccm
 
Mwaipopo bana anuliza waliotekwa na waliokufa wepi ni wengi hahaaa ajiulizi kwanini Israel inapoteza wanajesh wangapi na mabilioni mangapi kuwapata mateka tu hata miili ya ndugu zao walioshikiliw Gaza na hamas
 
Simlikuwa mnasema hakuna sisimizi wa kuandamana!labda maamdamano hayo kama yamitishwa na waislamu , Sasa wameamdamana mnaanza kulia lia na kumsingizia Mage, mwambieni ukweli Samia wenu kuwa watu huku mtaani wamemchoka "anakibali kwa Watanganyika '
 
Huku misikitini kwenyewe mashehe hawapendani huwa na fitna majungu balaa, waanze kupendana wao kwanza kabla ya kumuongelea mange kimambi
 
Hukum ya mchawi ni kifo usome uislam vyema
 
Hukum ya mchawi ni kifo usome uislam vyema
Nimeshausoma vyema nakutana na ujinga ujinga huku kinakubaliwa huku kinapingwa so ni ugeu geu tu hakuna kilichokamilika.. wewe tu umeshindwa kuweka andiko lilinalosema hukumu ni kifo. hahaha Usilam wako ni wa kuhadithiwa tu na masheikh waongo.. ukiwauliza umetoa wapi hayo maneno anakuambia ni uislam huo hahaha Aya hiyo 39:53 inakuambia dhambi zote Allah anasamehe au unadhani Allah nae anajibaraguza baraguza kama alivyosema Lipumba kuhusu hali ya usalama wa mipaka yetu?

Mwaipopo huyo alikuwa mkristo amekuja kwenu kawakuta weupe sema hana la kufanya so uchawi na ulozi anaupenda na huko sio Dhambi wala hakuna adhabu
 
Huku misikitini kwenyewe mashehe hawapendani huwa na fitna majungu balaa, waanze kupendana wao kwanza kabla ya kumuongelea mange kimambi
Alafu hawajui Mange ni Muislam Mwenzao hahaha wakisikia jina Mange wanajua ni Mchaga basi na atakuwa Mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…