Shekhe Suleiman Takadil

Lugha ilikuwa ikiwapiga chenga ikabidi wamtafute Mwl Nyerere.
Ngongo,
Mwalimu Nyerere hakupatapo kutafutwa na yeyote kuja kujiunga na harakati za kupigania uhuru kwa uongozi ule uliokuwa TAA HQ New Street, Dar es Salaam.

Kumbukumbu za Sykes zinaeleza kuwa mtu aliyetafutwa na TAA kupitia Abdul Sykes ajiunge na TAA ili waunde TANU alikuwa Chief David Kidaha Makwaia wa Siha.

Hii ilikuwa kati ya 1950 - 1953.

Kisa hiki ni historia inayojitosheleza nimeielexa kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.

Lakini ukitaka kujua Nyerere aliingia vipi katika uongozi wa TAA pale New Street itabidi nikueleze mkutano muhimu uliofanyika Nansio, Ukerewe nyumbani kwa Hamza Mwapachu mwaka wa 1953 na waliokuwa katika mazungumzo hayo alikuwa Hamza Mwapachu, Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mohamed Said: JUMA MWAPACHU ANAZUNGUMZA KUHUSU HISTORIA YA UHURU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine historia huandikwa kutegemea utashi wa mwanahistoria. Yapo mambo ambayo walio na mamlaka hawataki yafahamike wala yaelezwe ili kuleta ulinganifu wa habari. Hii ni hapendezi. Hongera sana Mzee Mohamed Said kwa weledi wako wa kutuhabarisha kile ambacho tumekikosa.
Hebu tizama kwenye hiyo piha. Kuna hao walinzi. Wanatufikirisha zaidi kwamba katika TANU kulikuwa na kikosi maalum cha ulinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…