Sheli na wizi wao

Mimi nahisi wananiibiaga ila sijui wananiibiaje,Kuna siku nimeweka ya elfu 15 nimeenda 12km wese limekata nikatia mafuta ya kibubu gar ikatembea ndo nilipogundua nimepigwa
 
Hapa ndipo tunakosea ,Mungu amekupa akili ili uweze kupigania haki yako pale ambapo unakua umeonewa ,Lakin kila wahalifu na watenda mabaya tunasema tunamwachia Mungu.

Usidhulumu wala usikubali kudhulumiwa
 
Kwaiyo mwishoni mkamalizana vipi..
Mana hiyo ishu sio yakuichekea risiti inaongea kila kitu hao wahuni wanajua walivyocheza na iyo mashine
 
Waadabishe mkuu , watu wengi wanapigwa aisee pasipo kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…