Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Report EWURA na TRA...Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika
View attachment 2379979
Hapa ndipo tunakosea ,Mungu amekupa akili ili uweze kupigania haki yako pale ambapo unakua umeonewa ,Lakin kila wahalifu na watenda mabaya tunasema tunamwachia Mungu.Kama nikweli wanaiba, basi watakua na lakujibu kwa Mwenyezi Mungu
Mwisho wa cku imekuaje?Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika
View attachment 2379979
Mkuu labda Kama unamiliki mkweche.Nawashauri muwe mnawekewa kwenye maduni,ndio ulikua mtindo wangu kabla ya kuuza chuma yangu.
Hapa ndipo tunakosea ,Mungu amekupa akili ili uweze kupigania haki yako pale ambapo unakua umeonewa ,Lakin kila wahalifu na watenda mabaya tunasema tunamwachia Mungu.
Wizi kila kona Petrol station zote zina Pump maalimu kwa ajili ya upigaji ukiona muhudumu anakuchangamkia elewa unapigwaUsidhulumu wala usikubali kudhulumiwa
Hapa hadi serikali nayo inapigwaKwaiyo mwishoni mkamalizana vipi..
Mana hiyo ishu sio yakuichekea risiti inaongea kila kitu hao wahuni wanajua walivyocheza na iyo mashine
hapana Mungu nae atakusaidia baada ya wewe kuonesha nia ya kuipigania haki yako,kwenye ilo Mungu hashughuliki naloKama nikweli wanaiba, basi watakua na lakujibu kwa Mwenyezi Mungu