Sheli na wizi wao

Sheli na wizi wao

Mzhokomi

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
232
Reaction score
167
Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika
IMG_20221007_153725_084.jpg
 
Mimi nahisi wananiibiaga ila sijui wananiibiaje,Kuna siku nimeweka ya elfu 15 nimeenda 12km wese limekata nikatia mafuta ya kibubu gar ikatembea ndo nilipogundua nimepigwa
 
Kwaiyo mwishoni mkamalizana vipi..
Mana hiyo ishu sio yakuichekea risiti inaongea kila kitu hao wahuni wanajua walivyocheza na iyo mashine
 
Waadabishe mkuu , watu wengi wanapigwa aisee pasipo kujua
 
Back
Top Bottom