Sheli ya hapa dampo Arusha inaungua muda huu

Risen man

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
20,205
Reaction score
54,699
Habari, naona moshi mzito kama kule Gaza nikiwa umbali wa kilomita 1 nikapiga simu kuuliza kumbe ni sheli ya hapa dampo inaungua



Kama kuna aliyeko kwenye eneo hilo tunaomba atuhabarishe kwa picha za karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…