Shem utatapita pale petrol station..

Marekebisho mwishoni

Nikazima TV fasta nikaingia
chumbani nikampigia wife simu
nikamwambia nampenda na
kumkiss good night, nikaenda bafuni!

Hehehe mkuu bafu la nini tena... kama ningetaka si ningekwenda tu kumtafuna
 
nimeupenda uzi,mpelekee jb hautengenezee movie yenye muendelezo mzuuuri,jirani yako awe aunt ezekiel au uwoya,halafu tuone ulivyozima cmu,kusali kama kweli ulienda kulalal?na movie iitwe neighbours temptations,script writer nakuwa mwenyewe,hapo vp?
 
sijui kama kuna mtu alipona hapo
 

Sasa Mmasai kazi yake si usalama? kwa nini hukwenda nae?
 
Hapana mawazo ya ngono hamna, ila niliepusha maneno... usiku nyumbani kwa jirani yangu na yeye hayupo ni noma

Uliona shida gani kumtuma masai aende akamwingizie LUKU?
 
Duh, mkubwa hivyo unaogopa kuingiza luku? Kwanza kulikuwa na giza mngetunia tochi ya simu.
 
Mleta mada amesahau ule wimbo wa Twanga pepeta Jirani!
Jirani yako ndio nduguyo.......
Akiomba chumvi......umpatie
akiomba kisu........umpatie
akiomba kuingiziwa lukuuuuuu.........muingizie...

Sasa jirani ukazima na simu, ukalala kabisaaaaa duh!
 
Na hiyo luku ina ufundi gani hasa mpaka iingizwe na wanaume tu? Huyo mama alikuwa na lake jambo. Mimi nampongeza mtoa mada maana heri nusu shari
Kweli kabisa, kwani siku za nyuma nani alikuwa anamuingizia hizo namba za luku?
 
Huo ndio Msimamo mtu unatakiwa kua nao
 

Angeenda na kumkatalia yale mambo yetu angepigiwa yowe ya kubakwa, kumbuka kisa cha Yusufu kwenye Bible kule kwa mke wa Farao Misri. Heri hakwenda kabisa, shari ilishaonekana, mama alikuwa ana mhemuko wa hali ya juu asingekubali kutolewa nje wakiwa chumbani.
 
Ungechukua jopo la majirani kadhaa tu muende kumsaidia jirani yenu kuingiza LUKU na kudumisha ujirani bila hofu ya kuzua tafrani.

Yan jamaa kaacha zali hilo angepiga tu atie heshima
 
nimeupenda uzi,mpelekee jb hautengenezee movie yenye muendelezo mzuuuri,jirani yako awe aunt ezekiel au uwoya,halafu tuone ulivyozima cmu,kusali kama kweli ulienda kulalal?na movie iitwe neighbours temptations,script writer nakuwa mwenyewe,hapo vp?

Hehehe, aisee jamaa ni mjasiriamali kweli... ngoja niliundie tume suala lako
 
Mleta mada amesahau ule wimbo wa Twanga pepeta Jirani!
Jirani yako ndio nduguyo.......
Akiomba chumvi......umpatie
akiomba kisu........umpatie
akiomba kuingiziwa lukuuuuuu.........muingizie...

Sasa jirani ukazima na simu, ukalala kabisaaaaa duh!

Nina wasiwasi na wewe , unaweza ukawa shem...
 
Uliona shida gani kumtuma masai aende akamwingizie LUKU?

Kwangu ikifika saa tatu nafunga geti naondoka na funguo.... tatu na nusu milango yote ya nyumba inafungwa,saa nne mbwa wanafunguliwa... Nadhani nitakua nimekujibu kaka.
 

kaka hongera kwa kumtunzia heshima wife ... umefanya vema ... heri lawama kuliko fedheha!!
 
Wewe ni mzinzi, inakuwaje kuombwa msaada tu upeleke mawazo yako kwenye uzinzi?Kwa hiyo wewe mwanamke akikusimamisha barabarani anaomba lift basi anakutaka?
Umenisikitisha sana, hufai hata kuwa jirani yetu wewe, na sikutegemea kuwa uko hivyo.
Sasa fikiria jirani yako alikuwa na hilo tatizo lakini wewe kwa mahisia yako ya kizinzi umeshindwa kumsaidia, kwanini hukwenda na hapo ukatae kama angeleta hayo mambo, hujiamini kabisa wewe, pole sana!
 

I am questioning your age.... you seems very immature kwenye maisha in general.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…