Shem utatapita pale petrol station..

Shem utatapita pale petrol station..

Mimi ndo maana huwa nanunua mwenyewe umeme,niwe nimesafiri niwe nipo...mambo mengine haya bwana
 
Mimi ndo maana huwa nanunua mwenyewe umeme,niwe nimesafiri niwe nipo...mambo mengine haya bwana
 
Ikimbie dhambi kwa miguu yako mwenyewe....hongera sana Wanaume wengi wamenaswa kwa mbinu za namna hiyo.....angalia video ya Kenya ya kukwamana
 
........ naye waifu anakupenda sana. usiku mwema
 
wanawake ni viumbe zaifu sana. nafikir wanaume tuna kazi kubwa sana kuhakikisha wanawake wetu wanaridhika na tendo la ndoa, kwasababu utakuwa kama asilimia sabini ya wanawake ndoani, wanaishi pale kama security ya pesa, au kwasababu mmezaa nao watoto,ila wale waaminifu hakika ni wachache, wengi bado wanapenda wakabanduliwe nje kubadilisha ladha, mme akisafiri wanatafuta advantage, hasa hao wa jirani ndo kabisa, anajua atakuwa ameweka mtaji wa kial mme akisafiri. sitakumbika siku rafiki yangu alipomwinamisha mke wa mtu bafuni akioga, na mume wake akiwa ndani anamsubiri mke aoge watoke...jamaa aliingia bafuni akamkuta kama alivyozaliwa, kwasababu walikuwa wamezoeana, alimwambia tu nataka, dada alishika ndoo (uswahilini enzi hizo) akainama, jamaa akapiga cha nyuma fasta...dada kamalizia kuoga, akarudi chumbani kwa waifu wake. kaazi wkweli kwweli.
 
mi sikupongezi kwa kua ulimkatili kwa kuassume mambo yako binafsi na hata kama alikua anataka kukutunuku tunda mi sikuona sababu ya wewe kuwa na wasiwasi kiasi hicho
 
Ilikua jumamosi asubui natoa gari getini, mara naskia mke wa jirai yangu ananiuliza Shemeji utapita pale Petrol satation?
Kwa sababu nilikua narudi njuma nilikua sijamuona ila yeye alikua kasimama pembeni ya geti kwa nje.
Nikajibu-Oooh za asubui shem...Hapana shemeji nilishaweka jana ila kwani kuna kitu unaitaji... akajibu Ndio shem naitaji Luku.
Nikamwambia haina shida ila mimi nitachelewa kurudi.. akanijibu hamna tatizo bado iko kidogo.
Kwenye mida ya saa mbili na nusu napiga honi ili geti lifunguliwe....mara naona simu inaita, napokea ni shem ananiambia umenipita hapa nyuma..nikamwabia ok ngoja nimpe Masai akuletee luku yako.
Ilipofika kwenye saa nne na nusu ivi bado niko naangalia TV , msg inaingia... ''shem naomba uje uniingizie, mimi nimeshindwa, na baba...... amewapeleka watoto shule Arusha niko mwenyewe, samahani kama nakusumbua''

Nikazima TV fasta nikaingia chumbani nikampigia wife simu nikamwambia nampenda na kumkiss good night,, mke wangu yuko Mbeya alienda kwenye msiba wa bibi yake. Nikazima simu nikasali , nikalala.


tafsiri ni tatizo kwako na wengine wengi tuuuu
 
Wewe ni mzinzi, inakuwaje kuombwa msaada tu upeleke mawazo yako kwenye uzinzi?Kwa hiyo wewe mwanamke akikusimamisha barabarani anaomba lift basi anakutaka?
Umenisikitisha sana, hufai hata kuwa jirani yetu wewe, na sikutegemea kuwa uko hivyo.
Sasa fikiria jirani yako alikuwa na hilo tatizo lakini wewe kwa mahisia yako ya kizinzi umeshindwa kumsaidia, kwanini hukwenda na hapo ukatae kama angeleta hayo mambo, hujiamini kabisa wewe, pole sana!

Unaishi wapi nije niwe jirani yako niwe namsaidie mkeo kuweka luku ukiwa haupo?
 
nothing could be far from the truth. Shem alikuwa na agenda siri
 
Hukufanya uungwana hasa ukichukulia huyo ni jirani yako..mtu kamili ni yule mwenye misimamo na anayejua jema na baya....ungeenda kumsaidia na kama kungekuwa na mengine ungemkumbusha tu kuwa wewe umeoa naye pia kaolewa.....kwa mtindo huo jiandae mkeo kulala giza ukiwapeleka watoto shule...pia tunamshukuru mungu wewe si daktari wa wanawake
 
Mkuu hapa naona ulimhukumu jirani bila kumpa fursa ya kujitetea,kiukweli hata nyumbani kwangu watoto ndo huwa wana punch luku mimi wala sijui inafanyikaje,ungemsaidia tu badala mawazo yako kukimbilia kwenye serewale.
 
Back
Top Bottom