- Thread starter
- #61
kaka hongera kwa kumtunzia heshima wife ... umefanya vema ... heri lawama kuliko fedheha!!
Senki yu ....tuko wachache sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka hongera kwa kumtunzia heshima wife ... umefanya vema ... heri lawama kuliko fedheha!!
Marekebisho mwishoni
Nikazima TV fasta nikaingia
chumbani nikampigia wife simu
nikamwambia nampenda na
kumkiss good night, nikaenda bafuni!
Ilikua jumamosi asubui natoa gari getini, mara naskia mke wa jirai yangu ananiuliza Shemeji utapita pale Petrol satation?
Kwa sababu nilikua narudi njuma nilikua sijamuona ila yeye alikua kasimama pembeni ya geti kwa nje.
Nikajibu-Oooh za asubui shem...Hapana shemeji nilishaweka jana ila kwani kuna kitu unaitaji... akajibu Ndio shem naitaji Luku.
Nikamwambia haina shida ila mimi nitachelewa kurudi.. akanijibu hamna tatizo bado iko kidogo.
Kwenye mida ya saa mbili na nusu napiga honi ili geti lifunguliwe....mara naona simu inaita, napokea ni shem ananiambia umenipita hapa nyuma..nikamwabia ok ngoja nimpe Masai akuletee luku yako.
Ilipofika kwenye saa nne na nusu ivi bado niko naangalia TV , msg inaingia... ''shem naomba uje uniingizie, mimi nimeshindwa, na baba...... amewapeleka watoto shule Arusha niko mwenyewe, samahani kama nakusumbua''
Nikazima TV fasta nikaingia chumbani nikampigia wife simu nikamwambia nampenda na kumkiss good night,, mke wangu yuko Mbeya alienda kwenye msiba wa bibi yake. Nikazima simu nikasali , nikalala.
Wewe ni mzinzi, inakuwaje kuombwa msaada tu upeleke mawazo yako kwenye uzinzi?Kwa hiyo wewe mwanamke akikusimamisha barabarani anaomba lift basi anakutaka?
Umenisikitisha sana, hufai hata kuwa jirani yetu wewe, na sikutegemea kuwa uko hivyo.
Sasa fikiria jirani yako alikuwa na hilo tatizo lakini wewe kwa mahisia yako ya kizinzi umeshindwa kumsaidia, kwanini hukwenda na hapo ukatae kama angeleta hayo mambo, hujiamini kabisa wewe, pole sana!