Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.

2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama ilivyokua kwa siri kwa Shangazi wa mke wangu (Oktoba 2023) au nikaushe tu? maana mashallah, mkia si haba. Kama mnavyofahamu Kondoa si haba kwa rangi adhimu, mkia na sura. Japo swala 5
 
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.

2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao maana mashallah, mgongo si haba
Acha ulafi.Utakabwa na mfupa wa samaki koromeo litoboke ubakie na majuto tu.
 
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.

2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao maana mashallah, mgongo si haba
Wee mkeo kawaleta wamsaidie, acha uzembe piga foursome hapo mwanawane
 
Point ya 2 inaonyesha umeshawala mawazoni. Sasa unataka ushauri ili uweze kujustify uhuni wako. Kutembea nao ni uamuzi wako(personal) hata ukiambiwa usifanye km umeshaweka nia ya kufanya utafanya. Ww kma unaona ni sawa fuata akili yako. Ila deep down unajua sio sawa.
 
1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.

2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao maana mashallah, mgongo si haba
Umalaya ndo unakusumbua unataka kuwapangia jinsi ya kuvaa au unatafuta justification za tamaa zako.
 
Back
Top Bottom