Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

Mkuu we nyandua tu kikubwa linda afya, Maisha ni haya haya hamna tuzo wala sifa utapata kisa umeacha kuwala hao mashemeji
 
😆😆😆😆we jamaa mbingu utasikia walah dah
wewe sio mie tuu sitaiskia mbingu. nilishawaambia humu ndani kuwa kabila pekee hapa duniani zitaiona mbingu ni mbili tuu; wazungu na wajapan.
kabila zingine zote ni motoni tuu. yaani wee na akili yako kweli utamwalika mwafrika mwarabu na muhindi mbinnguni?
duniani tuu hapa wanavurunda
 
Kwa akili hiyo na aina ya uwekezaji ulikoweka.

Watoto wako wajitume sana tena haswa ili kufikia kumiliki mali zao.

Ila wakipatwa na ile DNA ya mtoto wa nyoka, la salaleee..
 
Lamba hao wote hiyo ni njia ya kuwafukuza kijanja mkeo atakapojua.

Hizi mbinu huwezi fundishwa shuleni/chuoni hata kama umesoma Havard kama mimi.
 
Nakuelewa kabisa hali uliyokuwanyo, Pole sana, kucomoka kwenye mazingira kama hayo ni ngumu sana.
 
Mwambie mke wako nampa pole

Mwanaume anayejitambua angemuita mke wake chumbani na kumwambia "Sitaki kuwaona wadogo zako wakivaa uchi nyumbani kwangu'
Kuna mwanaume hapo sasa?
 
Back
Top Bottom