Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

Shemeji 3 wamehamia kwangu, wanavaa ovyo kunitega?

1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.

2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao Kama ilivyokua kwa siri kwa Shangazi wa mke wangu (Oktoba 2023) au nikaushe tu? maana mashallah, mkia si haba. Kama mnavyofahamu Kondoa si haba kwa rangi adhimu, mkia na sura.
Sasa wa Kondoa napo ni kuuliza, hao huwa hawakatai. Ila vi antenna wanavyo??
 
Ndoa inahitaji akili iwe imepevuka.

Bado una safari ndefu sana.

Bila kujali hicho nilichoandika hapo juu; una uhuru kamili wa kuamua.
 
Back
Top Bottom