Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
😅😅😅 Ruka nao tu. Ila soon ndoa yako nayo itaruka1. Wadogo wa kike wa mke wangu Ni kama wamehamia kwangu kiaina. Walikuja kumtembelea dada yao toka Disemba 2023 Ila naona hawaondoki.
2. Vaa Yao ndo inaniacha njia panda, nawaza niruke nao maana mashallah, mgongo si haba