Dume la Nyani
Member
- Apr 14, 2011
- 37
- 8
Msenee kwa dada yake bila hata kumuonya kuwa utamwambia dada'ke, ili kuweze kupatikana ushahidi dada yake akikataa kuamini.
Mdada akiwa mjanja anaweza akamruka, "Muongo huyo yeye ndiye alikuwa ananitaka sasa nimemkataa roho inamuuma kaamua kupindua maneno."
Ndio anamsemea kisha wanauchuna kusubiri ushahidi shemeji akijitakisha yeye ili dada yake aone.
Neno hilo G, Je dada mtu atakuwa tayari kumtega mdogo wake ili amfumanie akiomba penzi kwa mwenzie?
aAAAHHHH!! sasa na wewe bana unaniangusha mkuu, mbanjue unaogopa nini sasa!
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...
sema hujampenda ungekuwa umempenda shetani angekupitia kama mnavyosingiziaga!