Dume la Nyani
Member
- Apr 14, 2011
- 37
- 8
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...