Shemeji ananikosesha amani...sijui nifanyeje..?

Shemeji ananikosesha amani...sijui nifanyeje..?

Dume la Nyani

Member
Joined
Apr 14, 2011
Posts
37
Reaction score
8
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...
 
Mwambie! the easiest way ya kumaliza sexual harassment ni kumtishia muhusika kua akiendelea itabidi umripoti kwa dada yake au kaka yako. anapata nguvu pale unapokaa kimya sababu anaona na wewe unafurahia.
 
Msenee kwa dada yake bila hata kumuonya kuwa utamwambia dada'ke, ili kuweze kupatikana ushahidi dada yake akikataa kuamini.
 
Mdada akiwa mjanja anaweza akamruka, "Muongo huyo yeye ndiye alikuwa ananitaka sasa nimemkataa roho inamuuma kaamua kupindua maneno."

Ndio anamsemea kisha wanauchuna kusubiri ushahidi shemeji akijitakisha yeye ili dada yake aone.
 
Ndio anamsemea kisha wanauchuna kusubiri ushahidi shemeji akijitakisha yeye ili dada yake aone.

Neno hilo G, Je dada mtu atakuwa tayari kumtega mdogo wake ili amfumanie akiomba penzi kwa mwenzie?
 
"Inawezekana ulishamtungua sasa ulichokutana nacho hutaki kurudi tena na mdada naye anataka kukuganda" - Just kidding anyway. Ushauri wangu ni kwamba wewe kuwa naye mbali kama kuepuka kukaa naye kwa muda mrefu. Labda nikuulize swali, unafanya kazi? Kama unasubiri majibu ya mtihani hapo kazi ipo kwa kukaa ndani na kuangalia TV lazima kuna siku shetani atakupitia na utajenga kibanda. Tafuta kazi ya kufanya kama huna ili uepukane na hilo kama unaona kero.
 
aAAAHHHH!! sasa na wewe bana unaniangusha mkuu, mbanjue unaogopa nini sasa!
 
Lol! Kumfumania wa nini sasa? Anahitaji kuonywa tu na kuwa na staha mtoto wa kike..

Neno hilo G, Je dada mtu atakuwa tayari kumtega mdogo wake ili amfumanie akiomba penzi kwa mwenzie?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...

Kwani ukimpa kitu roho inapenda utapungukiwa na nn?
Mpe bana haki yake ya penzi anayo penda shemejiiiiiiiiii
 
Ushauri wangu ni huu-Mbanjue fasta vinginevyo utazaraulika kwamba huenda jogoo halikwei mtungi KWANI DADA YAKO HUYO BWANA?????MPE HAKI YAKE!!!!!!!!
 
Kwani kuna kosa gani kuoa nyumba moja? labda uniambie huyo shemeji yako ni mwanafunzi!
 
Nilikuwa naishi na mdogo wangu wa kiume na shemeji yangu wa kike (mdogo wa mke wangu). Siku moja wife akaniambia kwamba mdogo wake karipoti kwamba mdogo wangu yule wa kiume anamtaka kimapenzi mdogo wake amekuwa anamsumbua sana kwa muda mrefu.

Mimi nilisema siamini maneno hayo mpaka ushahidi upatikane. So, binti aliambiwa kama jamaa atamtumia tena msgs za mapenzi asizivute. Well, bwana mdogo nae hakuwa mjanja na mwisho wa siku msgs zake za mapenzi nililetewa.

Dume la Nyani we kusanya evidences hata za kimazingira tu na siku ukireport hakuna atakayebisha. Ningekushauri uripoti kwa kaka yako badala ya kumwambia shemeji yako.

Kila la kheri. Ila kama akizidi sana, we kula mzigo kwanza then ndo umreport! ha aha aha
 
Mpe kitu roho inapenda bwana unaweza kuja kudharauliwa bure angekuwa dada yako hapo sawa au unamchumba wewe mpe kitu atathimini amue kujenga mzinga.
 
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...

Wewe jamaa bana, ingekuwa anayekutaka ni mke wa kaka yako ningekuelewa, lakini eti mdogo wa mke wa kaka?aaghhh!! unaghafirika nini kwenye hili?

Kama analipa japo "kwa matumizi ya dharura" malizana nae tu, la humtaki mpotezee tu kimyakimya bila kuleta mgogoro, ole wako umwambie wazi kuwa haumhitaji alafu siku moja upate "dharura inayohitaji msaada wa haraka", utajuta!!
 
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...

Nina wasiwasi na urijali wako mkuu!
 
Back
Top Bottom