Shemeji antamani nfanyeje mie???

Shemeji antamani nfanyeje mie???

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
mmmh kama dunia naweza sema ishakufwaaaaaaaaaa ati
kuna dadda=ngu mmoja kadai tangu shemeji yetu aende kwake nsalimia baada ya
kufiwa na mme wake jamani amuingiza majaribu...leo hii kaamua kuniuliza
miie kaka nfanyeje...maana aona msaada kuwa wazi kila akimwambia we mme wa dadangu ataki ati???nkasema sie wote wa kule kule tupeane nsaada jamani dadangu amfanyaje huyu...kingine kasema huyu shemeji amtamani ama ampenda dadangu...aalafu ye nkrissto ataoaje nyumba moja ntu na dogo wake jamani..au ndio hamu ileeeeeeeeeee ya taarabu

hamuuuuuuuu hamuuuuuuuuuuuuuu hamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?????
 
Sasa anahitaji ushauri gani hapo??anataka aambiwe amkubali??
kwani hawezi kumchomolea:angry:
 
Hivi inakatazwa kuoa nyumba moja/mtu na dada yake?
 
Majibu unayo mwenyewe, suka au nyoa.:target:
 
Wapime afya zao maana nayeye inaonyesha amemzimikia, majibu yakiwa poa waendelee ampe hadi tiGo kumchanganya zaidi!
 
Yaani watu wanaomba ushauri wa kukubali kumegwa au kukataa. Si umpe tu!?
 
Hao wamependana, maana kama kitu mimi naona ni kibaya unamwambia mtu unakuwa serious na hawezi rudia ukimchekea chekea na wewe umependa pia. Na aliyeuliza ndo amempenda zaidi yule dada.
 
Cha kuomba ushauri hapo sikioni. Labda tu dadako hapo anafanya mbinu za kukupenyezea taarifa za jambo ambalo lilishatokea, ili utakapoisikia rasmi usishangae sana.
 
lo na nyie mmezidi kutongoza hovyo!
Ngoja marehemu kaka afufuke siku ukikubali kumpa utakoma!
 
mi nasemaga haya mashemeji mengine
laana tupu wajameni....
 
unajua unpotongozwa we mwenyewe ukaonyeshaflani kama vile
kuchekacheka unapokua naye,mara vizawadi upokee mara tabasamu flani
lazima naye ataona kama vile ipo ciku utamkubalia tu,lakini ukikaza mikausho mikali kila
mara lazima mwenyewe ataona apa cipo,la mwisho take care kuna ugonjwa hatari wa Ukimwi
 
...maana aona msaada kuwa wazi kila akimwambia we mme wa dadangu ataki ati???

hivi? unaweza kutaka, eti kwa sababu yeye anataka? sioni nimpe ushauri gani,
maana sawa na hapana anazo mwenyewe, mtu hawezi kushauriwa aseme ndiyo ama hapana
 
mmmh kama dunia naweza sema ishakufwaaaaaaaaaa ati
kuna dadda=ngu mmoja kadai tangu shemeji yetu aende kwake nsalimia baada ya
kufiwa na mme wake jamani amuingiza majaribu...leo hii kaamua kuniuliza
miie kaka nfanyeje...maana aona msaada kuwa wazi kila akimwambia we mme wa dadangu ataki ati???nkasema sie wote wa kule kule tupeane nsaada jamani dadangu amfanyaje huyu...kingine kasema huyu shemeji amtamani ama ampenda dadangu...aalafu ye nkrissto ataoaje nyumba moja ntu na dogo wake jamani..au ndio hamu ileeeeeeeeeee ya taarabu

hamuuuuuuuu hamuuuuuuuuuuuuuu hamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu?????

Mwambie dada yako kizuri ale na nduguye, kibaya amtumpie mbwa! Kinachomfanya aendelee kukaa hapo kwa shemeji yake kitu gani? Usikute kashamvulia chupi ila anajishaua tu!
 
unajua unpotongozwa we mwenyewe ukaonyeshaflani kama vile
kuchekacheka unapokua naye,mara vizawadi upokee mara tabasamu flani
lazima naye ataona kama vile ipo ciku utamkubalia tu,lakini ukikaza mikausho mikali kila
mara lazima mwenyewe ataona apa cipo,la mwisho take care kuna ugonjwa hatari wa Ukimwi

Ndio maana nikauliza, huyo mwanamke kaenda kusalimia kwa shemeji yake, halafu kang'ang'ania kukaa hapo hapo, sasa kaombwa mchezo anaanza kuomba ushauri kama siyo unafiki ni nini? Si aondoke arudi kwao kuliko kuendelea kumtia majaribuni baba wa watu. Mbuzi na Chui kamwe hawakai zizi moja.
 
mi nasemaga haya mashemeji mengine
laana tupu wajameni....

Dada yako ndiye mwenye matatizo, kinachomfanya aendelee kukaa hapo kwa shemeji yake kitu gani? Kusalimia gani huko kama kweli naye hana lake jambo? Halafu anapoomba ushauri ana maanisha nini? Kwamba ukimwambia amvulie chupi atamvulia?

Leo nimeamka vibaya! Mnisamehe bure!
 
Back
Top Bottom