Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Kwani vyuo mmefunga lini? Wenzako wanajiandaa na UE unaleta upupu huku sijui JF imeingiliwa na matutusa kama haya lini? Soma dogo acha maisha ya drama
 
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?

Kiukwel jamaa ni mshkaj wangu lakini sijapenda hiyo tabia yake ya unyanyasaji kwamke wake.

Sasa juzi shemeji alivyokuja nyumbani kunilalamikia malalamiko ya huyo ndugu yangu alishangaa sana maisha ninayoishi pale kwangu, akadai mimi naishi maisha mazur sana kuliko ya kwake na mme wake mpaka akafikia hatua ya kusema eti anatamani bora tungekua tunakaa nae.

Jana shemeji kanitext tena anadai anataka aje home tupige story apumzishe kichwa kwa stress za jamaa yangu, nikamkubalia akaja tukashida mpaka sa6 hivi mchana nikapata simu ya kuhitajika kazin, kwakua yeye hakutaka kurud kwake mda ule akaniambia yeye atabaki kuna series anamalzia kuangalia nitamkuta, basi nikaona hain la shida nikamuachia 50,000 pesa itakayomsaidia kwa matumizi mpaka jioni nitakaporudi, niliporudi mida ya sa10 jioni tulikaa kidogo akaaga akaondoka.

Sasa leo tena kanitext anasema anataka kuja kulala huku atamuaga mmewake anaenda kwa mama yake mdogo anaumwa, kiukwel nmeshindwa kumuelewa nimemwambia ikiffika sa12 nitamjulisha.

Lakini sio mbaya akija huku anafurahi anatoa stress, nimwambie aje?
Daaah 20k haztoshi...hebu acha tyz mkuu
 
Mkuu upo unaserereka katika mteremko mkali sana wenye utelezi mkali kuelekea kwenye huu uzi[emoji1787][emoji116]
Kuna watu wasenge sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Sema nyie mnatuchanganya sana sisi ambao sio wa kishua Yani mwanamke mmoja hana mtoto 20K inatosha kwa siku vizuri mno au huyo mwanamke ana Tumbo gani hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie ndo mnasababishaga wanawake waone wanapendwa wakipewa pesa 20K kwa mwez ni kilo 600k aya wewe baba huruma unaetoa 50k kwa mwezi 1.5M mshahara wa Njiwa kabisa Tumieni akili Nyuzi zingine humu zinatukera sisi walugaluga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnachezea hela Indirect
 
Back
Top Bottom