Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

nimekudharau na uzi wako sh 20,000/= ni ndogo kwa siku acha sifa za kiboya eti kwa jioni tu nimempa 50,000 hizi sifa mmmh
 
Yaani wewe unapaswa kupokea ushauri kutoka kwa Son of Gamba
 
Dah! Hayo sio mambo nawewe inakuwaje unamuachia 50,000/= mbona ndogo sana ungekuwa unamuachia angalau 200,000/=
 
Unatupiga kuwa huyo shemeji yako ulimwachia 50k for few hours na ukamshangaa jamaa ako anamwachia 20k kwa sio si ndio!??
Sawa [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Wakati wewe mwaka huu huu unaishi/umeishi na binti/mchumbaa ako na kwa mwezi ukapanga kumwachia laki 6 tena unamwingizia kipindi/tarehe za mishahara ya walimu kijana laki sita gawa kwa 30 ni how much!??? Si sawa na pesa jamaa ako anamwachia mke/mpenzi ake!??????

Ukaenda zaidi kuwa utamwachia/utampa laki 8 kwa matumizi ya nyumbani sasa laki nane gawa kwa mwezi si ni 2667~27000!????
Bado hukutoka katika maelfu ya ishirini as your jamaa anavomwachia shemeji ako.

Sasa tuje sasa unamshangaa jamaa ako wakati wewe ndicho ulichokuwa/unachokuwa unamwachia binti/mchumba tena shombe shombe????

Kijana kijana ...View attachment 1848013
View attachment 1848023
 
Extrovert Extrovert
 
Jamaa aache ujinga
Unamwachiaje mkeo elfu 20?
Hahahaha bwana pompeo acha ufala maana huku niliko sometimes tunaacha KHAKI(BUKU 5) tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…