Tunguja
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 457
- 339
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa)
Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa vurugu.
Mungu si Zakaria siku ya siku Msamaria mwema anakuja kuwaambia ndugu wa Jamaa na ushahidi usiokuwa na shaka kwamba Shemeji kaiba 5M anataka kutoroka na Mchepuko wake.
Je, mtamwambia ndugu yenu Ili mnusuru pesa zilizoibwa au mtajikausha ili Shemeji aondoke ndugu yenu apate nafasi ya kuoa mke mwingine?