Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

Mavyeo kama DC, RC, DAS, RAS ni mavyeo yaliundwq kuwaingiza watu kwenye keki ya taifa na wakuu, kama namna ya kuhakikisha watu wao wanafaidika na keki hiyo.

Ndio maana katiba mpya hawaitaki hawa jamaa, bora waue watu tuu. Rasimu ya Warioba, ilifutilia mbali haya mavyeo ya pichu.
 
Upo Sahihi..bila nguvu ya ziada,hatutopata KATIBA BORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…