Utadhani teuzi ya Zwazwa la imani yako lina mchango wowote kwenye maendeleo tofauti ya uyo
wasasa!!!@@
Project yenu ya Samia must go Aleluyaaaaa imekufa kibudu
Kenge hasikii mpaka Damu zimtoke sikioni!!!
Kwasasa mmejipanga kila teuzi ya Muislamu!!!!!!!
Mnambeza mteuzi !!!
lkn ikiwa Mkristo mnafunga midomo yenu!!!
Wakiteuliwa Wakristo kimyaaaa
Kazi kipimo cha utu!!!!!!
HIlo genge lenu litakuwa la Msukumo na Viongozi wa Kikristo!!!
Wanye nia mbaya na Ustawi wa Tanzania moja yenye kuishi kwa Umoja Amani na kupendana!!!