Hilo ni Sawa na kupewa lift mwanana kwenye stretcher hata maumivi yanatoweka ghafla.Kama watu wanajiamulia hivi wanavyotaka na pesa zangu kwa nini wewe utake kuniamulia mimi na maisha yangu.
Kila mtu afe kivyake
View attachment 3681041
Kwani Ndejembi ni muislamu?Inavyoelezwa Adadi ni mwislamu hivyo mke wake amebadili dini?Mdogo wake mke wa Ndejembi..
Aliyeteua ni nani, aliye kwenye likizo ya Eda au aliyekaimu??
Minyumbu ni mijitu mijinga sana. Hivi wateule wengine wooooote hawana uhusiano wowote na wakubwa flani huko juu?!!! Au kwakuwa tumeamua kumchukia Samia kama tulivyoagizwa na TEC basi ndo hakuna thinking? Ni mwendo wa kufuata maagizo tu ya TEC?!!! Inasikitisha sanaS
Sio Mpya alikuaga DAS Korogwe kabla hajapandishwa kuwa DC Pangani.
Any way nchi hii ni yetu sote ila kupeana mavyeo inabaki ya CCM na magenge yake
Ukilala ukiamka unawaza TEC tuMinyumbu ni mijitu mijinga sana. Hivi wateule wengine wooooote hawana uhusiano wowote na wakubwa flani huko juu?!!! Au kwakuwa tumeamua kumchukia Samia kama tulivyoagizwa na TEC basi ndo hakuna thinking? Ni mwendo wa kufuata maagizo tu ya TEC?!!! Inasikitisha sana
Kwani Ndejembi ni muislamu?Inavyoelezwa Adadi ni mwislamu hivyo mke wake amebadili dini?
Ahahahahaah,kwanza tuulize Adadi Rajabu na Kikwete ukaribu wao uko vipiMdogo wake mke wa Ndejembi..
Aliyeteua ni nani, aliye kwenye likizo ya Eda au aliyekaimu??
Akifufuka bahati mbaya atajilaumu sana.Mwalimu Nyerere alikataa hata watoto wake kuchukuliwa na gari za serkali ziwapeleke skuli,;alitaka wapande mabasi ya umma kama wanzao.RIP mwal.
So what?Mtoto wa Kachero wa Zamani DCI Adadi
Huyo ni mkuu wa wilaya, Mwenyekiti wa kamati ya usalama wa wilaya. Saa yoyote anaweza kuamua mtu awekwe ndani kwa amri yake.Mdogo wake mke wa Ndejembi..
Aliyeteua ni nani, aliye kwenye likizo ya Eda au aliyekaimu??
Nilidhani anatoa taarifa tu kwa sisi tusiomfahamu huyo binti. Nilipoona maneni yako haya na kutazama jina la aliyeleta taarifa, nikaelewa maana ya jibu lako kwake.So what?
Litakuwa dc litata hili
Hiyo takataka ukiiweka ndani itakusumbua sana! Hizi ni za vijana kujisevia tuSijui kameolewa !!!