Na TISS nayo imekuwa ya kipumbavu tu! Haiwezi kufanya vetting kabisa!Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
- Khanji kapoor
- makamu wa rais rais mteule
- Replies: 144
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kiukweli huyu mmama wa makunduuchi ametuharibia Tanganyika yetu.Nchi inaendeshwa kindugu na siyo kiuwezo wa mtu.
Yaani Vice angekuepo nilikua nakuona mbali mbali sana ulishachomozaππππHata hivyo huyu ni mtoto wa Adadi Rajab, DCI wa zamani.
Yes so whatSo what?
Former didHOME OF GREAT THINKERS HAMUMJUI ADAD RAJABU?
Pasco wa JF alikiwa na msemo wake maarufu sana kuhusu nyoka.Mtoto wa Kachero wa Zamani DCI Adadi
Nani mzenji hapoWatanganyika wakuwatetea hayupo jiteteeni. Wazenji wanagawana tanganyika yenu nyie mko bize na simba n yanga.
Kazi ni kipimo cha utu
Usiniambie?? πππYaani Vice angekuepo nilikua nakuona mbali mbali sana ulishachomozaππππ
Kazuri Kenyewe...!!ππππ
Utadhani teuzi ya Zwazwa la imani yako lina mchango wowote kwenye maendeleo tofauti ya uyo
wasasa!!!@@
Project yenu ya Samia must go Aleluyaaaaa imekufa kibudu
Kenge hasikii mpaka Damu zimtoke sikioni!!!
Kwasasa mmejipanga kila teuzi ya Muislamu!!!!!!!
Mnambeza mteuzi !!!
lkn ikiwa Mkristo mnafunga midomo yenu!!!
Wakiteuliwa Wakristo kimyaaaa
Kazi kipimo cha utu!!!!!!
HIlo genge lenu litakuwa la Msukumo na Viongozi wa Kikristo!!!
Wanye nia mbaya na Ustawi wa Tanzania moja yenye kuishi kwa Umoja Amani na kupendana!!!
Nani kaoa au kuolewa kwa nani
Ndugu, jamaa na marafikiTaifa la ukoo